”Kesho” by Diamond Platnumz

Titre: Kesho (Tomorrow)
Artist: Diamond Platnumz
Year: 2012

Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Minataka kesho twende ukamuone mama
Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Minataka kesho twende ukamuone mama

Kwanza kabisa nitanyonga tai
T-shirt na jeans nitatupa kidogo
Niite nassib usiniite dai
Asije kukuona muhuni akapandisha mbogo
Na ukifika uagize chai
Savannah tequila uzipe kisogo
Kuhusu mavazi kimini haifai
Tupia pendeze ladha yake inoge

Even thou wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
Even thou wanaponda we ni kicheche
Waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke

Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Minataka kesho twende ukamuone mama
Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Minataka kesho twende ukamuone mama

Na usilete swagger za nai nai
Ukanyoa kiduku kama moze liogo
Eti shopping twende thai
Wakati dada angu ana duka kidogo
Ukikuta nguna usikatae
We zuga unapenda hatakama wa muhogo
Kuhusu kabila wala silagai
Mama angu hana noma hatakama mgogo

Even thou wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
Even thou wanaponda we ni kicheche
Waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke

diamond

Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Minataka kesho twende ukamuone mama
Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Minataka kesho twende ukamuone mama

Mama yangu mama
Mama nassib mama
Mama diamond mama
Mama yangu nyumbani
Mama chali mama
Mama sepetu mama
Mama kidoti mama
Na mama diamond nyumbani

Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Minataka kesho twende ukamuone mama
Minataka kesho twende nikupeleke nyumbani
Minataka kesho twende ukamuone mama